Mratibu
wa Marafiki wa Lowasa kanda ya Kaskazini Noel Nnko akitoka kufanya
usajili kaba ya kuanza safari ya kupanda mlima Kilimanjaro.
Mratibu
wa marafiki wa Lowasa Noel Nnko akiagwa na mdau wa utalii kanda ya
kaskazini Aggrey Makia kabla kundi la vijana ambao ni marafiki wa Lowasa
wanaopanda mlima Kilimanjaro.
Baadhi ya vijana.
Mratibu wa marafiki wa Lowasa kanda ya kaskazini ,Noel Nnko akizungumza na waandishi wa habari kabla ya kuanza safari ya kupanda Mlima Kilimanjaro.
Safari ya kupanda Mlima Kilimanjaro ikanza.
Askari wa hifadhi akiwapekua wasaidizi wa watalii kabla ya kuanza safari ya kupanda mlima Kilimanjaro.
Kundi
la vijana ambao wanajitaja kama marafiki wa Lowasa wakiwa katika njia
ya kuanzia kupanda Mlima Kilimanjaro katika lango la Marangu.