https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    LIVERPOOL YAIFANYIA CHELSEA KAMA AZAM ILIVYOWAFANYIA YANGA

    liver chelsea
    Na Richard Bakana-shaffihdauda.com.
    Wachezaji wa klabu ya Liverpool jana katika mchezo wa ligi kuu ya England (EPL) walipokutana na mabingwa wapya wa ligi hiyo Chelsea waliwaonyesha heshima yao ya kubeba ubingwa, kitendo ambacho hata hapa Nyumbani Tanzania kwa mara ya kwanza kilionyesha na klabu ya Azam FC ambao waliwapigia makofi Yanga siku ya Jumatano timu hizo zilipokutana katika Uwanja wa Taifa.
    YANGABINGWA4
    Mchezo huo ambao ulipigwa Nyumbani kwa Chelsea ‘Stamford Bridge’ ulimalizika kwa timu hizo kugawana pointi baada ya kufungana bao moja moja.
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: LIVERPOOL YAIFANYIA CHELSEA KAMA AZAM ILIVYOWAFANYIA YANGA Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top