Wananchi wakitaharuki kufuatia maandamano ya walemavu kuelekea kwenye Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam.
Jeshi la Polisi wakihakikisha ulinzi na usalama wakati wa maandamano hayo.Maandamano yakishika kasi.Baadhi ya walemavu wakihojiwa na waandishi wa habari.
...wananchi
wakizidi kushangaa hali hiyo.Walemavu jijini Dar es Salaam muda huu
wameandamana kwenda ofisi za Mkuu wa Mkoa wa Dar eneo la Ilala na
kufunga barabara za Kawawa na Uhuru wakilalamikia kuvunjwa kwa meza zao
za biashara zilizopo eneo la Karume.