https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    DSTV TANZANIA YAZINDUA RASMI HUDUMA KUKODISHA FILAMU YA BOX OFFICE

    Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Multichoice Tanzania Barbara Kambogi  akizungumza na waandishi wa habari(hawapo pichani) kuhusu uzinduzi wa huduma mpya ya DStv ya kukodisha filamu yaani Box Office iliyofanyika leo kwenye hotel ya New Afrika jijini Dar, kushoto ni Meneja uendeshaji wa Multichoice Tanzania, Ronald Shelukindo.
    Meneja uendeshaji wa Multichoice Tanzania, Ronald Shelukindo akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa huduma mpya ya kukodisha filamu Box Office  leo jijini Dar.
    Meneja uendeshaji wa Multichoice Tanzania, Ronald Shelukindo akitolea ufafanuzi ni kwa jinsi gani unaweza kukodisha filamu kwa njia ya  Box Office na kuangalia filamu mpya baada ya kuzindua huduma hii leo jijini Dar.
    Baadhi ya waandishi wa habari waliofika kwenye uzinduzi huo 
    Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Multichoice Tanzania Barbara Kambogi(wa kwanza kushoto) akimkabidhi mwandishi wa blog ya Full Shangwe bwana Philemon Solomon zawadi ya dekoda ya Explora kutoka DStv, katokati ni Meneja uendeshaji wa Multichoice Tanzania, Ronald Shelukindo
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: DSTV TANZANIA YAZINDUA RASMI HUDUMA KUKODISHA FILAMU YA BOX OFFICE Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top