Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza nakisha kupiga picha ya pamoja na
madaktari wa Shirika lisilo la kiserikali la Al Muntada lenye makao
yake makuu jijini London Uingereza wanaoendesha zoezi la upasuaji na
tiba ya moyo kwa zaidi ya watoto 70 katika hospitali ya taifa ya
Muhimbili jijini Dar es Salaam leo.(Picha na Freddy Maro) 
- Blogger Comments
- Facebook Comments
Item Reviewed: RAIS JAKAYA KIKWETE AWAPONGEZA MADAKTARI BINGWA WA MOYO KWA UPASUAJI
Rating: 5
Reviewed By: Unknown

