https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    WAHAMIAJI WA MYANMAR WAKWAMA MAJINI KWA WIKI MOJA NA BAADHI KUFA NJAA

    Wahamiaji kutoka Myanmar wamekwama wakiwa kwenye boti kwa wiki moja katika bahari ya Andaman wakiwa hawana chakula ama maji ambapo wenzao kumi wamekufa huku wengine wakiishi kwa kunywa haja ndogo.

    Boti hiyo ya uvuvi iliyokuwa na wahamiaji hao 350 wa jamii ndogo ya waislamu wa Rohingya, wamekataliwa kuingia nchini Thailand. Miili ya watu waliokufa ilibidi waitupe majini.

    Wahamiaji hao wameviambia vyombo vya habari kuwa waliokuwa wanaongoza boti hiyo wamewatelekeza na kuharibu injini. 
     
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: WAHAMIAJI WA MYANMAR WAKWAMA MAJINI KWA WIKI MOJA NA BAADHI KUFA NJAA Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top