https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    Rais Kikwete akagua ujenzi wa Mikutano wa Kimataifa wa Dodoma

    Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikagua ujenzi wa Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Dodoma unaojengwa na Chama Cha Mapinduzi CCM.kulia ni makamu mwenyekiti wa CCM Bara Philip Mangula.
    Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na makandarasi wanaojenga ukumbi wa kimataifa wa Mikutano wa Dodoma unaojengwa na Chama Cha Mapinduzi CCM, leo.Ukumbi huu upo karibu na Benki Kuu, njia ya kuelekea Chuo Kikuu cha Dodoma.

    Muonekano wa ukumbi wa kimataifa wa mikutano wa Dodoma.(picha na Freddy Maro).
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: Rais Kikwete akagua ujenzi wa Mikutano wa Kimataifa wa Dodoma Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top