https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    WATU 10 WAFA KATIKA AJALI BAADA YA MATATU KUGONGA TELA LA LORI

    Watu kumi wamekufa na wengine kadhaa kujeruhiwa kufuatia ajali mbaya ya barabarani iliyotokea leo huko Kipkaren mji wa kati wa Kaunti ya Kakamega.

    Mkuu wa Usalama Barabarano wa Mkoa wa Magharibi, Evans Getembe amesema ajali hiyo imetoke leo majira ya saa tano asubuhi.

    Ajali hiyo imetokea wakati basi la abiria matatu lilipokuwa likijaribu kulipita lori lenye tela katika barabara ya Eldoret-Webuye na ndipo dereva wa matatu gari lilimshinda na kuligonga tela la roli na kuuwa watu saba akiwemo dereva na kondakta wake.
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: WATU 10 WAFA KATIKA AJALI BAADA YA MATATU KUGONGA TELA LA LORI Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top