Waziri
wa Fedha akiinua Begi lenye Bajeti ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar
wakati akiingia katika ukumbi wa mkutano kuwasilisha Hutuba ya Bajeti
leo jioni katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Chukwani.
Waziri
wa Fedha wa Zanzibar Mhe Omar Yussuf Mzee, akishindikizwa na Askari wa
Baraza kuingia katika ukumbi wa Mkutano kwa ajili ya kusoma Hutuba ya
Bajeti ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar leo jioni.
Waziri
wa Fedha Zanzibar Mhe. Omar Yussuf Mzee akisoma Hutuba ya Bajeti ya
Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakati wa Mkutano wa Baraza la
Wawakilishi Zanzibar, Kikao cha Bajeti kwa kimeaza leo kwa kusomwa
Bajeti ya Mwaka 2015-2016.
You might also like:

