https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    ADEBAYOR AMUWEKA WAZI MPENZI ALIYEZAA NAE MTOTO.

    COVER
    Emanuel Adebayor baada ya ku-post mara nyingi matatizo kuhusu yeye na familia yake hivi sasa ame-chil na ana enjoy maisha na ha-post tena matatizo yoyote kuhusu yeye na familia yake.

    Badala yake ana post vitu vizuri kuhusu maisha yake. Hivi sasa post ambayo inapata like nyingi sana kwenye kurasa za mitandao ya kijamii ya Emanuel Adebayor ni kuhusu picha ya mpenzi wake ambae amezaa nae mtoto wa kike.
    Ilikua ni post ya kumtakia birthday njema mdada huyo ambapo Ade aliandika hivi , “Kwangu mimi siku yako ya kuzaliwa ni kama siku nyingine nyingine. Kwa wewe kuwa karibu yangu kila siku ni sherehe. Asante sana kwa kuwa kwenye maisha yangu na kuyafanya yawe na maana kwangu na kwa mtoto wetu wa kike. Heri ya siku ya kuzaliwa kwa mara nyingine”
    Post hii inapendwa sana na watu kwasababu sio kawaida kwa SEA ku-post picha ya baby mama wake.
    34

    1
    5
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: ADEBAYOR AMUWEKA WAZI MPENZI ALIYEZAA NAE MTOTO. Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top