Baadhi
ya Wafanyakazi wa benki ya CRDB tawi la Water Front wakitoa misaada
katika kituo cha kulelea watoto wa chini ya miaka minne(4) yatima katika
kituo cha Msimbazi Chidrens Home kilichopo Msimbazi Centre jijini Dar
es Salaam leo.
Crediti
manaja wa Benki ya CRDB, tawi la Water front, Isaya Lyimo akimpa
maelekezo Sista wa kituo cha watoto yatima cha Msimbazi Chidrens Home
kilichopo Msimbazi Centre, Sista Anna Marandu mara baada ya wafanykazi
wa tawi hilo kutoa msaada wa vitu mbalimbali jijini Dar es Salaam leo.
kulia ni Meneja wa Tawi la Water Front Donath Shirima

