Waziri
Mkuu Mstaafu, Mh. Edward Lowassa akimpa pole Mjane wa Marehemu, Sheikh
Mkuu wa Tanzania, Mufti Issa Shaaban bin Simba, nyumbani kwake Majengo,
Mkoani Shinyanga leo Juni 16, 2015. Mufti Simba alifariki dunia Juni 15,
2015 kwenye hospitali ya TMJ Mikocheni Jijini Dar es salaam.
Mawaziri Wastaafu Mh. Edward Lowassa akizungumza jambo na Mh. Fredrick Sumaye walipokwenda kumpa
pole Mjane wa Marehemu, Sheikh Mkuu wa Tanzania, Mufti Issa Shaaban bin
Simba, nyumbani kwake Majengo, Mkoani Shinyanga leo Juni 16, 2015.
Mufti Simba alifariki dunia Juni 15, 2015 kwenye hospitali ya TMJ
Mikocheni Jijini Dar es salaam.



