https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    BOTI YAZAMA NCHINI CHINA IKIWA NA ABIRIA 458

    Abiria zaidi ya 458 wengi wao wakiwa ni wazee wanahofiwa kuwa wamefariki dunia baada ya boti waliyokuwa wakisafiria kuzama katika mto Yangtze nchini China usiku wa jumatatu wiki hii. 

    Boti hiyo iliyokuwa katika safari ya kitalii, inaripotiwa kuzama kutokana na hali mbaya ya hewa iliyoambatana na mawimbi makali pamoja na mvua kubwa. 

    Mpaka sasa miili mitano ndiyo iliyopatikana baada ya kutokea kwa ajali hiyo huku juhudi zaidi za uokoaji zikiendelea kwa kasi.
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: BOTI YAZAMA NCHINI CHINA IKIWA NA ABIRIA 458 Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top