Mrisho Ngassa amesafiri hadi South Africa na mpenzi wake kwa ajili ya mampumziko. Ngassa anategemea kuweka makazi yake hukohuko pia pale
msimu wa 2015/2016 ukianza kwasababu hivi sasa ni mchezaji wa Free State United ya huko huko S.A. Enjoy kuangalia picha 5 za Ngassa na mpenzi wake ndani ya South Africa.