https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    DKT. MAGUFULI AWASILI ZANZIBAR KUTAFUTA WADHAMINI


    Waziri wa Ujenzi ambaye pia ni Mbunge wa Chato Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia mchakato wa uhakiki wa kadi za wanachama wa CCM Wilaya ya Mfenesini Kisiwani Zanzibar waliojitokeza kumdhamini.
    Waziri wa Ujenzi ambaye pia ni Mbunge wa Chato Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikabidhiwa fomu yenye orodha ya Wadhamini waliojitokeza kumdhamini katika mbio za kuwania Urais wa Jamhuri ya Muungano kupitia chama hicho kutoka kwa Mussa Haji Katibu wa CCM Wilaya ya Mfenesini Kisiwani Zanzibar
    Dkt. Magufuli akifurahia mara baada ya kukabidhiwa fomu za Wadhamini kutoka kwa Katibu wa CCM wilaya ya Kaskazini B-Unguja.
    Dkt. John Magufuli akisomewa dua katika Wilaya ya Wete Pemba mara baada ya kumaliza zoezi la kupata wadhamini katika katika kisiwa cha Pemba. Dkt. Magufuli amepata Wadhamini katika mikoa mitano kisiwani Zanzibar, Mitatu Unguja na Miwili Pemba
    Zoezi la udhamini likiendelea katika eneo la Chakechake mkoa wa Kusini Pemba.
    Waziri wa Ujenzi Dkt. Magufuli akifurahia jambo na baadhi ya wanachama waliojitokeza kumdhamini huko Chakechake Pemba.
    Dkt. Magufuli akikabidhiwa fomu za wadhamini Wete Kisiwani Pemba
    Dkt. Magufuli akiwashukuru wadhamini wake mara baada ya kukabidhiwa fomu Wete Kisiwani Pemba
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: DKT. MAGUFULI AWASILI ZANZIBAR KUTAFUTA WADHAMINI Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top