https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    KINANA ASAFIRI KWA BODABODA KWENDA KUKIOKOA KIJIJI CHA ILYAMCHELE KISICHOKUWA NA SHULE WILAYANI BUKOMBE


    Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akitumia usafiri wa pikipiki alipokuwa anakwenda Kijiji cha Ilyamchele, Kata ya Namonge ambako aliendesha harambee ya ujenzi wa Shule ya Msingi ya Ilyamchele akiwa katika ziara wilayani Bukombe, Geita, ya kuimarisha uhai wa chama, kukagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi cya chama hicho pamoja na kusikiliza kero za wananchi na kuzitafutia ufumbuzi.
     










    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: KINANA ASAFIRI KWA BODABODA KWENDA KUKIOKOA KIJIJI CHA ILYAMCHELE KISICHOKUWA NA SHULE WILAYANI BUKOMBE Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top