https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    Beki anayewindwa na Manchester United afunga pingu za maisha

    29A46EB400000578-0-image-a-23_1434385277798
    Mlinzi wa Borussia Dortmund na Ujerumani, Mats Hummels amefunga pingu za maisha na mpenzi wake wa muda mrefu,  Cathy Fischer.
    Ndoa ya mshindi huyo wa kombe la dunia ambaye miezi ya karibuni amekuwa akihusishwa kujiunga na Manchester United alifunwga jana  mjini Munich.
    Hummels mwenye miaka 26 alipigwa picha akiwa na mapambo yenye rangi ya jezi ya Borussia kwenye suti yake maridadi kabisa.
    Ripoti nchini Ujerumani zinasema kuwa wapenzi hao walianza mahusiano tangu Hummels alipokuwa na miaka 19. 
    The 26-year old World Cup winning defender had flecks of Dortmund-yellow on his wedding suit
    Mlinzi huyu mwenye miaka 26 ametupia suti yenye mapambo yenye rangi ya jezi ya Dortmund
    Fischer (left) and Hummels were married at the Mandelstrasse registry office, in Munich
    Hummels amefunga ndoa ya kiserikali katika mahakama ya Mandelstrasse, mjini Munich
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: Beki anayewindwa na Manchester United afunga pingu za maisha Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top