https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    KUNDI LA AL-QAEDA LIMETHIBITISHA KUUWAWA KWA KIONGOZI WAO WA PENISULA YA ARABIA

    Kundi la Al-Qaeda limethibitisha kuwa kiongozi wao wa Penisula ya Arabia, Nasser al-Wuhayshi, ameuwawa katika mashambulizi yaliyofanywa na ndege ya Marekani isiyo na rubani nchini Yemen.

    Kifo chake kimetangazwa na kundi la AQAP kupitia video ya mtandaoni, ambapo pia imeeleza kwamba wapiganaji wawili wa al-Qaeda nao wameuwawa.

    Al-Wuhayshi alikuwa akionekana kuwa ni Kamanda Mwandamizi wa pili wa al-Qaeda na aliwahi kuwa Katibu binafsi wa kiongozi wa kundi hilo marehemu Osama Bin Laden.

    Katika video hiyo pia imemtaja mrithi wake kuwa ni mkuu wa wapiganaji wa kundi hilo Qasim al-Raymi.
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: KUNDI LA AL-QAEDA LIMETHIBITISHA KUUWAWA KWA KIONGOZI WAO WA PENISULA YA ARABIA Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top