https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    JENGO LA EKAMASUITES LODGE YA KIJITONYAMA DAR LATEKETEA KWA MOTO

    Jengo la nyumba ya wageni ijulikanayo kama Ekamasuites Lodge iliyopo kijitonyama jijini Dar, linavyoteketea kwa moto.

    Jengo lilivyoteketea kwa moto. (DK)
    kikosi cha zimamoto kikikiwasili eneo la tukio.
    Jengo moja la Nyumba ya wageni ijulikanayo kama Ekamasuites Lodge iliyopo eneo la Kijitonyama karibu na Kituo cha Polisi cha Mabatini jijini Dar es Salaam, imeteketea vibaya kwa moto muda mfupi uliopita, Kikosi cha Zima Moto kimechelewa kufika eneo la tukio na taarifa zinasema, kikosi hicho ndipo kinawasili eneo hilo tayari kuuzima moto huo.(GPL)
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: JENGO LA EKAMASUITES LODGE YA KIJITONYAMA DAR LATEKETEA KWA MOTO Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top