Mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya Bushbucks Safaris iliyopo jijini Arusha Mustafa Panju akiongea na vyombo mbalimbali vya habari ofisini kwake
,akitangaza rasmi kuwania kiti cha ubunge jimbo la Arusha mjini kupitia tiketi ya chama cha mapinduzi CCM kushoto ni mke wake.
Kassim Mamboleo ambaye ni katibu wa kamati ya ushindi ya mgombea Mustafa Panju akitoa utambulisho kwa vyombo vya habari.
Taswira katika mkutano huo na waandishi wa habari.