https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    KIKWETE AKUTANA NA WATANZANIA WAISHIO INDIA NA WAWEKEZAJI

    Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa ubalozi
    wa Tanzania nchini India na familia zao jana muda mfupi baada ya kuzungumza nao katika hoteli ya Taj Mahal Palace jijini New Delhi India ambapo yuko kwa ziara ya kiserikali.Walioketi mbele kutoka kushoto ni baadhi ya mawaziri anaofuatana nao katika ziara hii.Wapili kushoto ni Naibu Waziri wa mambo ya Nje Mahadhi Juma Maalim, watatu kushoto ni Waziri wa Maji Prof.Jumanne Maghembe,watatu kulia ni Waziri wa Nchi ofisi ya Rais Zanzibar Haji Omar Kheri,Wanne kulia ni Waziri wa Viwanda na Biashara Dr.Abdallah Kigoda, na wapili kulia ni Mbunge wa Nzega Said Nkumba.
    Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na wafanyabiashara wa India wenye viwanda ambao wamewekeza nchini Tanzania muda mfupi baada ya kukutana nao leo
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: KIKWETE AKUTANA NA WATANZANIA WAISHIO INDIA NA WAWEKEZAJI Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top