MSAFARA WA MAKAMU WA KWANZA WA RAIS ZANZIBAR, MAALIM SEIF WASIMAMA KWA MUDA KUSHUHUDIA AJALI
Makamu
wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad amelazimika
kusimamisha msafara wake kushuhudia ajali iliyotokea eneo la Mtoni
kuelekea Bububu. Katika ajali hiyo mpanda vespa (jina halikufamika mara
moja) amefariki papo hapo baada ya kugongwa na gari, huku msafara wa
Maalim Seif ukikaribia eneo hilo. (Picha na Salmin Said, OMKR).