Baadhi
ya waendesha piki piki maarufu kama bodaboda wakiushangaa msafara wa
Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana ulikuwa ukielekea kushiriki na kukagua
miradi mbalimbali. 

Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Kinana akizungumza na wafanyabiasha wa soko la
Kashai,lakini pia alipata wasaaa wa kuwasalimia wafanyabiashara hao.
Katibu wa NEC,Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza jambo na Mkuu wa mkoa wa Kagera Mh. John Mongela pamoja na Mbunge wa jimbo la Bukoba mjini Mh. Khamis Kagasheki
Ujenzi wa uwanja wa ndege wa mjini Bukoba ukiwa katika hatua za mwisho kukamilika
atibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiongozwa na Meneja wa uwanja wa
Ndege wa Bukoba Bw. Julius Mulungwana wakati akikagua ujenzi wa uwanja
wa ndege wa Bukoba wakati akiwa kwenye ziara yake ya kikazi ya kukagua
utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2010 na kuhimiza uhai
wa Chama Cha Mapinduzi CCM mkoani Kagera ambapo leo aliuwa katika jimbo
la Bukoba mjini, Kinana yuko katika ziara ya mikoa ya Kagera, Geita na
Mwanza akingozana na Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM.
Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisikiliza risala aliyosomewa
wakati alipokagua chanzo cha maji safi huko kata ya Nshambwa,mkoani
Kagera.
Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Kinana akijadiliana na jambo na Mbunge wa jimbo mjini
Mh.Hamis kagasesheki mara baada ya kukagua mashine ya maji
Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana akipata taarifa ujenzi wa jengo la Wagonjwa wa nje (OPD),Hospitali ya wilaya.
Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwa sambamba na wananchi
akishiriki katika utengenezaji wa barabara kwa njia ya kujitolea katika
kijiji cha Nyanga,mkoani Kagera
Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana akishiri ujenzi wa Zahannati ya kata Nyanga.
Ndugu Kinana akizungumza na akina mama wajasiliamali mara baada ya kukizindua kikundi chao.
Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na baadhi wakandarasi
wa kampuni ya TechnicfabEngeneering Limited inayojenga mradi huo wa
maji mjini Bukoba.












