Kaimu
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikali, Bi Sarah Reuben (Wapili
kushoto) akizungumza na mmoja wa wananchi waliojitokeza kujua kazi
zinazofanywa na Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi. Wengine katika picha ni
Wakaguzi, Bibi Tumaini Sorogo (Kushoto) na Bw. Fahdi Masanja (Watatu
kushoto).
Mkaguzi Lenatus Leonard (Katikati) kutoka Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi akihojiwa kuhusu ufanisi wa ukaguzi kwa upande wa Serikali za Mitaa na Bw. Pachal Mayala wakati wa Maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma kwa mwaka 2015 yanayoendelea katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
PICHA KUTOKA KITENGO CHA MAWASILIANO SERIKALINI, OFISI YA TAIFA YA UKAGUZI, MAKAO MAKUU