PICHA 20 ZA BARCELONA NA JUVENTUS WAKIWASILI BERLIN KWA AJILI YA UEFA FINAL
Timu
mbili tayari zimesha wasili ndani ya Berlin kwa ajili ya kipute cha
kesho. Wachezaji wa Barcelona wafika ndani ya uniform ya full jeans.
Juventus wamewasili na uniform ya full suti. Kumbuka mecbi hii itakujia
moja kwa moja kupitia Super Sport ya Dstv