
Waziri Mkuu wa India Narendra Modi akimsikiliza kwa makini Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza wakati wa mkutano na waandishi wa habari uliofanyika katika ikulu ya New Delhi India baada ya viongozi hao wawili na ujumbe wao kufanya mazungumzo rasmi.

