Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Balozi Dorah Msechu katika
uwanja wa ndege wa Helsinki alipowasili tayari kwa ziara ya siku tatu ya
nchi hiyo
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Balozi wa FinladDorah Msechu katika
uwanja wa ndege wa Helsinki alipowasili tayari kwa ziara ya siku tatu ya
nchi hiyo
Rais Jakaya Kikwete akitembelea maabara ya majaribio ya kampuni ya kutengeza lifti ya KONE jijini Helsinki, Finland.
PICHA NA IKULU