https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    Ratiba ya EPL 2015-2016 yawekwa hadharani: Unataka kujua timu yako itacheza na nani mechi ya ufunguzi? Ingia hapa…

    Premier LeagueRatiba ya ligi kuu ya Uingereza (England Premier League) kwa msimu ujao wa 2015-2016 imewekwa hadharani leo, mchakamchaka huo unatarajiwa kuanza Augost 8 mwaka huu ambapo timu zote 20 zitakuwa viwanjani kukipiga kwenye siku hiyo ya ufunguzi wa pazia la msimu mpya wa ligi.

    Cheki hapa kujua mechi zote 10 za ufunguzi;
    Bournemouth vs Aston Villa
    Arsenal vs West Ham United
    Chelsea vs Swansea City
    Everton vs Watford
    Leicester City vs Sunderland
    Manchester United vs Tottenham Hotspur
    Newcastle United vs Southampton
    Norwich City vs Crystal Palace
    Stoke City vs Liverpool
    West Bromwich Albion vs Manchester City

    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: Ratiba ya EPL 2015-2016 yawekwa hadharani: Unataka kujua timu yako itacheza na nani mechi ya ufunguzi? Ingia hapa… Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top