wa Kichina!!
Zhang Yue amekamilisha kazi ya Ujenzi wa Jengo la Ghorofa lililopewa jina la Mini Sky City ndani ya China, Jengo hilo lina urefu wa Ghorofa 57 na kazi yote imekamilika kwa muda wa siku 19 tu !!
Wachina hawana utani, kazi ilipigwa mchana na usiku… Cheki kipande cha hii video uone bwana Zhang alivyosimamia huo ujenzi wake ulioiweka China kwenye headline nyingine !!