https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    WEMA SEPETU ATANGAZA NIA, KUWANIA UBUNGE WA VITI MAALUM SINGIDA

    Wema Sepetu akiwa na mama yake mzazi mkoani Singida.
    STAA wa filamu nchini ambaye pia ni Miss Tanzania 2006, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’
    ametangaza nia ya kuwania nafasi ya Ubunge wa Viti Maalum kupitia CCM mkoani Singida.

    Wema tayari ametua mkoani Singida akiambatana na mama yake kwa ajili ya zoezi hilo ambapo amepokelewa kwa shangwe na mashabiki wake.
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: WEMA SEPETU ATANGAZA NIA, KUWANIA UBUNGE WA VITI MAALUM SINGIDA Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top