MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu Jijini Dar es Salaam imewahukumu aliyekuwa Waziri wa Fedha Basil Mramba na aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini Daniel Yona kwenda jela miaka mitatu baada ya kupatikana na hatia ya matumizi mabaya ya madaraka kesi iliyokuwa inawakabili.
Aidha,Mahakama hiyo imemuachia huru aliyekuwa Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Aggrey Mgonja kwa kutopatikana na hatia hukumu ambayo imesomwa leo mahakamani hapo na Hakimu Mkazi Sam Rumanyika.
0 comments:
Post a Comment