https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    HATMA YA BALOTELLI IPO HIVI KAMA ALIVYOSEMA BRENDAN RODGERS

    1306312_heroa
    Liverpool inasajili sana wachezaji hasa ambao wanaocheza namba moja na Balotelli. Pia hivi karibuni Balotelli alimtetea Raheem baada ya kuhama Liverpool kwenda Manchester city na mashabiki wa Liver walimshambulia Balotelli kwenye mitandao.
    Lakini Balotelli ameachwa kwenye pre season kwasababu ya kufiwa na baba yake mlezi lakini hivi sasa yupo kwenye mazoezi kwenye uwanja wa Melwood.
    Rogers alipoulizwa kuhusu hatma ya mchezaji huyo alisema, “Mario hayupo kwenye tour yetu lakini anafanya mazoezi kwa bidii na baadhi ya wachezaji uwanjani. Sijui future yake iko vipi lakini ninavyojua future yake ipo mikononi mwake kwa kufanya mazoezi kwa bidii. Lakini najua anafanya kazi kwa bidii kwa ajili ya kujiandaa kwa msimu ujao”
    Namba ya Balotelli ipo kwenye ushindani mkubwa baada ya usajili ambao Liverpool wameufanya na ambao wanatarajia kuufanya kwa kutoa ofa ya £32.5 million kumsajili Christian Benteke
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: HATMA YA BALOTELLI IPO HIVI KAMA ALIVYOSEMA BRENDAN RODGERS Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top