https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    Hawa maharusi wengine wamechagua jeneza kuongeza mvuto kwenye sherehe yao…(Pichaz)

    kufa1

    kufa2
    Stori nyingine inayofanana na hizo imeingia kwenye headlines leo inatokea Singapore baada ya wapenzi kuamua kufunga ndoa yao huku wakitumia jeneza kama sehemu ya kuongeza mvuto kwenye sherehe yao.
    kufa3
    Jenny Tay, na  Darren Cheng, waliamua kunogesha sherehe yao baada ya kuona ni muhimu kwao kutokana na kufanya kazi ya mazishi kwa muda mrefu na kuamini kifo ni sehemu ya maisha ya binadamu hivyo ni jambo la kawaida kwao.
    kufa4
    Wamesema pia wameamua kufanya hivyo ili watu wengine waone kifo ni jambo la kawaida na ni sehemu ya kila mmoja kuwa ni lazima atapitia.
    kufa5
    kufasita
    Unahitaji chochote nachokipata kikufikie? jiunge na mimi 
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: Hawa maharusi wengine wamechagua jeneza kuongeza mvuto kwenye sherehe yao…(Pichaz) Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top