https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    HAWA NI BAADHI YA WACHEZAJI AMBAO USAJILI WAO TAYARI UMESHAKAMILIKA

    Memphis Depay kutoka PSV kwenda Man United-Pauni milioni 25
    Depay

    Petr Cech kutoka Chelsea  kwenda Arsenal – Undisclosed
    Arsenal wamemsajili Petr Cech kwa dau linalodaiwa kuwa ni pauni milioni 11 

    Dimitri Payet kutoka Marseille kwenda West Ham – Undisclosed
    Imeripotiwa West Ham wamelipa kiasi cha pauni milioni 10 kumnasa kiungo huyo wa Ufaransa 

    James Milner kutoka Man City kwenda Liverpool – Mchezaji huru
    Milner anataka kuchezeshwa nafasi ya katikati 

    Gerard Deulofeu kutoka Barcelona kwenda Everton – Pauni million 6
    Winga huyo wa Hispania likuwa akikipiga kwenye klabu hiyo (Everton) kwa mkopo tangu msimu wa 2013-2014 

    Kevin Wimmer kutoka FC Cologne kwenda Tottenham – Undisclosed
    Tottenham imemsajili mlinzi huyu kijana wa Australia kuimarisha safu yake ya ulinzi 
    Andre Ayew kutoka Marseille kwenda Swansea – Mchezaji huru
    Mshambuliaji huyu wa Ghana amesajiliwa kuziba pengo lililoachwa na Wilfried Bony.

    Tyrone Mings kutoka Ipswich kwenda Bournemouth – Undisclosed

    Juanmi kutoka Malaga kwenda Southampton – Undisclosed

    Micah Richards kutoka Man City kwenda Aston Villa – Mchezaji huru
    Aston Villa wamemnyakua  Richards bure baada ya kutoka Fiorentina  alikokua kwa mkopo msimu uliopita 
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: HAWA NI BAADHI YA WACHEZAJI AMBAO USAJILI WAO TAYARI UMESHAKAMILIKA Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top