Habari zilizoripotiwa kwa headline kubwa kabisa ni kuhusu mchezaji wa Manchester united Robin Van Persie kwamba yupo kwenye uwezako wa kuuzwa hivi karibuni. Gazeti maarufu la The Mirror limezipata hizo tetesi ambazo hazipendwi na mashabiki wengi wa Manchester united kwa sasa kwasababu Van Persie ni mchezaji mkubwa kwenye timu yao.
Tetesi zilizolipotiwa kuhusu Van Persie ni kwamba Manchester united inajaribu kumuuza mchezaji huyo kwa siri bila kufanya publicity sana kwenye vyombo vya habari.
Mchezaji huyo mwenye miaka 31 yupo kwenye wakati mgumu na club yake kutokana na kutokua kwenye chaguo la kwanza la kocha wake Van Gaal. Juventus,Roma na Lazio wameonyesha nia ya kumtaka na Van Persie amebakisha mwaka mmoja tu kumaliza mkataba wake na Manchester unit


0 comments:
Post a Comment