https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    KAULI YA WENGER BAADA YA MIKATABA MIPYA YA WALCOTT, CARZOLA

    Arsene-Wenger-attends-a-press-conference-at-London-Colney
    Kutokana na viungo washambuliaji wa arsenal kusaini mikataba mipya tar
    31/7/2015 siku chache kabla ya mechi ya ngao ya hisani dhidi ya vijana
    wenzao wa pale London, Kocha mkuu wa washika bunduki hao Arsenal
    Wenger hatimaye ali-iambia “website” ya klabu hiyo maneno yafuatayo:
    “Tuna furaha kuongeza mikataba ya Theo na Sant. Wote ni wachezaji
    wenye viwango vya juu na ni muhimu sana katika kikosi chetu….. Mbali
    ya michango yao mikubwa uwanjani pia wachezaji hawa ni maarufu na wana
    udhoefu mkubwa nje ya uwanja. Tunaomba radhi kutokana na kuongeza
    mikataba yao ila itaimarisha kiwango cha kikosi chetu”
    Inawezekana Mzee Wenger atadhidi kufanikiwa nje na ndani ya uwanja
    kutokana na mikataba ya wachezaji hawa ambao wana uwezo wa kucheza
    nafasi za ushambuliaji mbali na viungo.
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: KAULI YA WENGER BAADA YA MIKATABA MIPYA YA WALCOTT, CARZOLA Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top