Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akihutubia wananchi wa Mji mdogo wa Mererani, wakati wa hafla ya kuweka
Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Barabara ya Kia-Mererani yenye Kilometa 26.
Hafla hiyo imefanyika leo Julai 30, 2015.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
Waziri wa Ujenzi, Dkt. John Pombe Magufuli, na baadhi ya viongozi
wakifunua kitambaa kwa pamoja kuashiria kuweka Jiwe la Msingi la Ujenzi
wa Barabara ya Kia-Mererani, wakati wa hafla fupi iliyofanyika mji mdogo
wa Mererani, leo Julai 30, 2015.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
Waziri wa Ujenzi, Dkt. John Pombe Magufuli na baadhi ya Viongozi,kwa
pamoja wakikata utepe kuashiria kuzindua rasmi harakati za ujenzi wa
Barabara ya Kilometa 26 ya Kia-Mererani, wakati wa hafla hiyo
iliyofanyika mji mdogo wa Mererani leo Julai 30, 2015.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi wa makabila mawili
makubwa ya Kimasai baada ya kumvisha vazi hilo.
Dkt. Bilal akiagana na viongozi hao wa kabila la Masai.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akipanda mti wa kumbukumbu baada ya kuweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa
Barabara ya Kia- Mererani, leo Julai 30, 2015.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi
Waziri
wa Ujenzi, Dkt. John Magufuli, akizungumza kabla ya kumkaribisha Mgeni
rasmi, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed
Gharib Bilal.
Magufuli, akikabidhiwa fimbo ya heshima ya kabila la Kimasai.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
Waziri wa Ujenzi, Dkt. John Magufuli, wakicheza sambamba na kinamama wa
kabila la Kimasai wakati wakifurahia ngoma ya Kimasai kwenye hafla ya
uwekaji wa Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Barabara ya Kia-Mererani, leo
Mkoani Manyara.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
Waziri wa Ujenzi, Dkt. John Magufuli, wakifurahia ngoma ya asili kwenye
hafla ya uwekaji wa Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Barabara ya
Kia-Mererani, leo Mkoani Manyara
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akipunga mkono kuwashukuru wananchi wa zawadi ya vazi la Kimasai, baada
ya kuvishwa wakati wa hafla ya uwekaji wa Jiwe la Msingi la Ujenzi wa
Barabara ya Kia- Mererani, leo Mkoani Manyara. Picha na O
0 comments:
Post a Comment