hivi ndio mapokezi ya kuelekea mkutano wa Mwanza unaofanyika katika uwanya wa magomeni
Mbunge
wa Kawe Halima Mdee akiwa na Ester Bulaya wakiwa katika msafara
kuelekea Mkutano wa kihistoria Jijini Mwanza katika viwanja vya magomeni
Mkutano mkubwa wa aina yake kuwahi kufanyika kwa siku za hivi karibuni
Viongozi wakuu wa Chama wakiongozwa na Mwenyekiti wa chama Taifa Freeman Mbowe, Katibu Mkuu Dr Willibroad Slaa,Makamu Mwenyekiti Bara Prof. Aballah Safari. Naibu Katibu Mkuu Bara John Mnyika. Naibu Katibu Mkuu Zanzibar Salum Mwalimu,Mwenyekiti wa bodi ya wadhamini Arcado Ntagazwa Prof Mwesiga Baregu na Wabunge mbalimbali wa chama watakuwa katika uwanja wa Magomeni Jijini Mwanza.
Mkutano unaonyeshwa na kutangazwa live na kituo cha ITV na Redio One wakati watanzania wengine e watapata fursa ya kufatilia matangazo ya moja kwa moja kupitia tv na redio. wakazi wa mikoa ya ziwa watawakilishwa kwa kufika kwa wingi uwanjani hapo kusikia hotuba zinazotoa mwelekeo wa Taifa hasa tunapoelekea uchaguzi mkuu 2015

0 comments:
Post a Comment