https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    MICHEZO Kama unaamini ukali wa Lionel Messi, cheki hapa ‘alivyowatoka’ mabeki wawili wakaangukiana.. (Video)

    lionel-messi-world-player-soccer-lionel-messi-feature4 (1)
    Copa America ndio story nyingine kubwa kwenye soka Duniani kwa sasa, imechezwa tayari mechi ya Argentina VS Paraguay… matokeo ilikuwa Argentina kushinda goli 6-1, lakini kilichonivutia ni hiki hapa.
    Lionel
    Japo Cristiano Ronaldo anatajwa kuwa ndio mchezaji wa soka mkali kabisa Duniani na ana Tuzo yake ya Ballon d’Or kwa mara tatu mfululizo, wapo wanaoamini Lionel Messindio mkali zaidi !!
    Nina hivi vipisi vya video vinavyoonesha ukali mwingine wa Lionel Messi akiwa Uwanjani, play uone wachezaji wawili walivyoachwa kwenye mataa mtu wangu!!
    Video Player

    Video Player

    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: MICHEZO Kama unaamini ukali wa Lionel Messi, cheki hapa ‘alivyowatoka’ mabeki wawili wakaangukiana.. (Video) Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top