https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    MWANAMUZIKI MARIAH CAREY APATA WAKATI MGUMU PALE ALIPOTELEZA KWENYE NGAZI



    Mwanamuziki Mariah Carey amepata wakati mgumu pale alipoteleza kwenye ngazi za boti ya kifahari ya mpenzi, huku mpenzi wake huyo James Packer akibaki anamuangalia tu wakati akipata msaada wa mmoja wa walinzi.



    Wakati Mariah akijaribu kujinusuru asianguke huku akiwa amevalia viatu vyenye visigino virefu bilionea Packer (47) alikuwa amekaa tu akipata mionzi ya jua katika boti yake hiyo huku akimuangalia mpenzi wake akiwa katika hali hiyo wakati wakiwa Formentera nchini Hispania.
                   Mlinzi huyo alikuwa na kazi kubwa ya kumsaidia Mariah asidondoke
                 Bilionea Packer akionekana amekaa tu wakati bibie akijaribu kurudisha balance
                        Mariah akiwa ufukweni na mpenzi wake Packer baada ya tukio hilo

    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: MWANAMUZIKI MARIAH CAREY APATA WAKATI MGUMU PALE ALIPOTELEZA KWENYE NGAZI Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top