Kundi lililojizolea sifa kwa ukatili la IS, limetoa picha zinazoonyesha likiwarusha watu kichwa chini kutoka juu ya ghorofa ya nne nchini Irak kwa tuhuma za kujihusisha na vitendo vya ushoga.
Kundi hilo limekuwa likifanya mauaji ya kikatili ya aina mbalimbali ikiwemo ya kuchinja watu, kuchoma moto, kuwapiga risasi kichwani katika mji wa Raqqa nchini Syria, sasa ukatili huo wameuhamishia katika mkoa wa Fallujah nchini Irak.
Mtu akishuka chini baada ya kutupwa kutoka juu ya ghorofa
Mmoja wa wapiganaji wa IS akimsubiria kwa chini mtu aliyetupwa






0 comments:
Post a Comment