https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    Mwanafunzi wa Chuo kakwepa madeni, kaja kuishi kwenye hii ghorofa yake ndogondogo..

    1435764743-img-1351cr2
    Una ndoto ya kumiliki Mjengo wa aina gani? Kila mtu na ndoto yake, ninayo story kutoka Marekani.. mmiliki wa huu mjengo anaitwa Joel Weber na ni mwanafunzi wa University of Texas, Austin Marekani.
    1435764460-img-0983-2
    Hesabu yake ilikuwa hivi; aliona kukaa kwenye Campus za Chuo itafanya awe na deni kubwa sana la kulipa baada ya kumaliza Chuo, kaingia zake mtaani kajiongeza na huu ndio mjengo wake alioamua kuishi ili kukwepa hayo madeni mengine yasiyo ya lazima.
    HT_joel_weber_lofts_jef_150630_4x3_992
    1435764511-img-0991
    1435764641-img-1002
    Hii ni ghorofa, hizi ni ngazi kuelekea juu kwenye kitanda ambako jamaa analala !!
    landscape-1435684366-1799191-10153367464034788-3843205048929530093-o
    Mwonekano wa ghorofa yake kwa nje.
    HT_joel_weber_sink_jef_150630_4x3_992
    Hiyo ni nyumba ndogondogo mtu wangu, lakini ndio hivyo jamaa kaona panamtosha hapohapo !!
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: Mwanafunzi wa Chuo kakwepa madeni, kaja kuishi kwenye hii ghorofa yake ndogondogo.. Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top