Taarifa kutoka Fenerbahce imethibitisha: “Fenerbahce imefungua majadiliano na Luis Nani na klabu yake ya Manchester United kwa ajili ya kumsajili mchezaji huyo”.
Mchezaji huyo wa kimataifa wa Ureno, alisaini mkataba wa miaka mitano mwaka 2013 kuitumkia United wakati David Moyes alipokuwa kocha wa Manchester.
Lakini baada ya kocha huyo kutimuliwa, nafai ya Nani ilikuwa ndogo kwenye kikosi cha Old Trafford hasa pale alipotua kocha mpya Louis van Gaal ambaye alionekana hana mipango ya baadae na Nani.


0 comments:
Post a Comment