Ijumaa July 24 2015 Kenya itashuhudia kutua kwa Rais Obama kwa mara ya kwanza tangu awe Rais wa Marekani… Wamarekani wanajali sana kuhusu Usalama wa Rais wao, tulisikia ishu ya kutua kwa wanausalama wa kutosha pamoja na magari ambayo yalianza kushushwa zaidi ya mwezi mmoja kabla ya siku ya Obama kutua.
Bado leo Viwanja vya Michezo vya Chuo Kikuu cha Kenya zimeshuhudiwa Helicopter kadhaa za wanausalama zikitua na kuruka kuzunguka anga la Nairobi… waliobebwa humo ni makomandoo ambao nao wameshushwa kuhakikisha hakiharibiki kitu kwenye ishu ya Usalama wa Rais wao.
0 comments:
Post a Comment