https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    ANGALIA PICHA LOWASSA ALIVYORUDISHA FOMU ZA KUGOMBEA URAIS LEO


    Makamu Mwenyekiti akipokea fomu kutoka kwa Waziri Mkuu Mstaafu na aliiyekuwa mbunge wa Monduli kwa tikeki ya CCM Mh. Edward Lowassa
    Mwanasheria wa Chama Mh Mabere Marando akikagua fomu za mgombea urais Mh. Edward Lowassa mara baada tu ya kukabidhi kwa Makamu Mwenyekiti Bara Prof Abdalah Safari

    Naibu Katibu Mkuu Zanznibar Mh Salum Mwalim akimkaribisha Edward Lowassa katika ofisi ya Makamu Mwenyekiti Bara Prof Abdalah Safari
    Baadhi ya wabunge walioweza kufika katika tukio la kumshuhudia Edward Lowassa akirudisha fomu Makao Makuu
    Ester Bulaya akiwa ukumbini kumshuhudia Edward Lowassa akirudisha fomu ya kugombea urais ndani ya chama


    Baadhi ya wananchi wakiwa na ujimbe kwenye mabango yao,ikiwa ni sehemu ya kufikisha ujimbe kwa wazo la kila mtu binafsi kwa kupata fursa ya kutoa mawazo yao kwa njia ya mabango

    Suzan Lyimo Mbunge viti maalum CHADEMA akisalimiana na Mh Edward Lowassa mara baada ya kuwasili Makao Makuu kurudisha fomu ya kugombea urais kupitia CHADEMA
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: ANGALIA PICHA LOWASSA ALIVYORUDISHA FOMU ZA KUGOMBEA URAIS LEO Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top