MASHABIKI WA YANGA SC NA TIMU YAO, IKIFUNGWA UTAWAHURUMIA!
Shabiki
maarufu wa Yanga SC, Ally Yanga akiwa karibu kutoa machozi wakati wa
mchezo wa Robo Fainali ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati, Kombe
la Kagame Jumatano Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam. Azam FC
ilishinda kwa penalti 5-3 baada ya sare ya 0-0 ndani ya dakika 90.
Mashabiki wa Yanga wakiwa wanyonge katika mechi na Azam FC
Mashabiki wa Yanga SC wakati na mechi na Azam FC wakitolewa kwa penalti 5-3
0 comments:
Post a Comment