https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    BAADA YA KUKATWA KURA ZA MAONI CCM DKT. MAKONGORO MAHANGA ATIMKIA CHADEMA


    Naibu Waziri wa Kazi na Ajira na Mbunge wa Segerea anayemaliza muda wake, Mh. Dkt. Makongoro Mahanga akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) nyumbani kwake Segerea mwisho jijini Dar es salaam, wakati akitangaza kujiondoa uanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na kujiunga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) leo Jumapili Agosti 2, 2015.
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: BAADA YA KUKATWA KURA ZA MAONI CCM DKT. MAKONGORO MAHANGA ATIMKIA CHADEMA Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top