Mshambuliaji
wa Bayern Munich, Robert Lewandowski akiruka juu kushangilia baada ya
kuifungia timu yake katika ushindi wa 5-0 dhidi ya Hamburg, mchezo
wa ufunguzi, Ligi Kuu Ujerumani, maarufu kama Bundesliga usiku huu
Uwanja wa Allianz Arena. Mabao mengine ya Bayern yamefungwa na Mehdi
Benatia, Thomas Muller mawili na Douglas Costa. PICHA ZAIDI GONGA HAPA
- Blogger Comments
- Facebook Comments
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



0 comments:
Post a Comment