BREAKING NEWS: Watu 9 wamefariki dunia kwa kuteketea kwa moto baada nyumba waliyokuwa wakiishi
BREAKING NEWS: Watu 9 wamefariki dunia kwa kuteketea kwa moto baada nyumba waliyokuwa wakiishi iliyoko maeneo ya Buguruni Malapa kuteketea kwa moto. Hadi sasa tayari miili mitano imeshatolewa. Mashuhuda wa tukio hilo wamesema chanzo cha moto huo hakijajulikana
0 comments:
Post a Comment