https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    Cristiano Ronaldo kanunua jumba hili la kifahari New York (pichaz)

    Mshambuliaji wa kimataifa wa Ureno ambaye anaichezea klabu ya Real Madrid yaHispania Cristiano Ronaldo amefanikiwa kununua jumba la kifahari lililopo katika mji waNew York Marekani kwa dola za kimareka milioni 18 ambazo ni zaidi ya bilioni 30 za Kitanzania.
    Ronaldo-main
    Inaripotiwa kuwa wazo la Ronaldo kununua nyumba hiyo alilipata kutoka katika novel ya’50 Shades of Grey’ hata hivyo ununuaji wa nyumba hiyo kwa Ronaldo unaongeza uvumi kuwa huenda ana mapngo wa kwenda kucheza katika Ligi Kuu Marekani kabla hajastaafu soka.
    Cristiano-Ronaldo-New-York-Apartment (2)
    Cristiano-Ronaldo-New-York-Apartment (1)
    Cristiano-Ronaldo-New-York-Apartment
    Trump-Tower-on-Fifth-Avenue
    Cristiano-Ronaldo-New-York-Apartment (6)
    Cristiano-Ronaldo-New-York-Apartment (5)
    Cristiano-Ronaldo-New-York-Apartment (4)
    Cristiano-Ronaldo-New-York-Apartment (3)
    Cristiano-Ronaldo-New-York-Apartment (9)
    Cristiano-Ronaldo-New-York-Apartment (8)
    Ukiwa juu muonekano wa maeneo jirani
    Cristiano-Ronaldo-New-York-Apartment (7)
    Chumba cha kulala
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: Cristiano Ronaldo kanunua jumba hili la kifahari New York (pichaz) Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top